söndag 22 november 2009

Ruhuwiko, Songea, Tanzania

Sisi ni binamu.
Vi är kusiner.
Nyumbani Ruhuwiko mwezi wa pili 2009.
Hemma i Ruhuwiko februari 2009.

V.47

onsdag 18 november 2009

KWENYE MASHAMBA KIJIJINI MDUNDUWALO/SONGEA


Mzee Ngonyani na Kaka Lwena
Hapa ni kijiji cha mdunduwalo. Mzee anafurahia mazao yake. Wakulima ni wachache lakini walaji ni wengi .