fredag 23 april 2010

HONGERA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA KASTOR!!!

Loeo ni siku aliyozaliwa Shangazi yangu, binamu yetu na mtoto wetu Kastor. Kastor ni huyo mdogo kuliko wote. Ametimiza miaka minne leo. HONGERA SANA!!

2 kommentarer:

Yasinta Ngonyani sa...

Hongera Kastor, nakutakia maisha mema na uwe kijana mwema unayewajali baba, mama, kaka ,dada na watu wote katika dunia hii.HONGERA SANA.

Yasinta Ngonyani sa...

hongera kastor!



Erick!