Visar inlägg med etikett maisha. Visa alla inlägg
Visar inlägg med etikett maisha. Visa alla inlägg

fredag 23 april 2010

HONGERA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA KASTOR!!!

Loeo ni siku aliyozaliwa Shangazi yangu, binamu yetu na mtoto wetu Kastor. Kastor ni huyo mdogo kuliko wote. Ametimiza miaka minne leo. HONGERA SANA!!

lördag 17 oktober 2009

WAGENI NI WATOTO WASOMAO HAPA RUHUWIKO KATIKA SHULE YA VIZIWI (SONGEA)


Hapa ni watoto ambao wanasoma shule ya Viziwi hapa Ruhuwiko walikuja kutusalimia hapa kwetu. Bahati mbaya siku hii kulinyesha mvua kubwa sana na ya radi. Kwa hiyo watoto wote na wengine ikabidi tuingie ndani. Hapo ni sebuleni kwetu.

torsdag 18 juni 2009