Maji ni muhimu, maji bila wadudu muhimu saidi. Kupata maji salama bila kutumia kuni au mkaa sio ndoto, kama unatumia "Solvatten". Soma saidi hapa, lugha ni kiingereza.
Hapa ni watoto ambao wanasoma shule ya Viziwi hapa Ruhuwiko walikuja kutusalimia hapa kwetu. Bahati mbaya siku hii kulinyesha mvua kubwa sana na ya radi. Kwa hiyo watoto wote na wengine ikabidi tuingie ndani. Hapo ni sebuleni kwetu.